Pages

December 17, 2014

BREAKING NEWS SPIKA WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AMWAGWA CHINI

 
Aliekuwa Spika wa Bunge  la jumuiya ya Afrika mjashariki ,Magreth Zziwa Nantongo leo amepigwa chini mara baada ya wabunge wa bunge hilo kupiga kura za kumkataa kuendelea kukalii kiti hicho

kwa mujibu wa taarifa za awali tulizozipata zinasema kuwa spika huyo amemwagwa chini hivi leo kutokana na kikao cha wabunge hao kilichokuwa kikiendelea katika ukumbi wa jengo la makao makuu ya jumuiya hiyo yaliyopo apa Arusha

taarifa zinasema kuwa spika huyo amemwagwa kutokana na tuhuma mbalimbali ambazo zinamkabili na inadaiwa katika kikao hicho cha kumwondoa ofisini  spika huyo kulikuwa na jumla ya wabunge 39 ambapo 36 walimpigia kura za kukubali aondolewe madarakani  huku wabunge 2 wakiwa wanamkubali na kura moja kuharibika.

 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...