Pages

December 13, 2014

ANGALIA MICHEZO YA WABUNGE KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ILIYOFANYIKA ARUSHA

Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki(Eala)

Timu ya wabunge kutoka Jamhuri ya Kenya.

Timu ya wabunge kutoka Jamhuri ya Uganda.

Timu ya wabunge kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania,Dk Abdalah Sadala  akikabidhi kikombe cha ubingwa mpira wa kabumbu.
Kikosi cha timu ya Wabunge wa Burundi

Ujumbe wa Kenya ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Piga nikupige

Wabunge wa Eala na baadhi ya watumishi wa bunge wakijadili jambo.
Wabunge wa Eala na watumishi wa bunge hilo wakiteta jambo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...