Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kimya kimya kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Nigeria, Waje.
Diamond na Waje Video hiyo imefanyika kwenye fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town. |
Diamond alipost picha hii kwenye Instagram bila kusema chochote ni wapi alipoipigia |
Diamond na Waje wakiwa location |
Picha hii iliweka Instagram na Jesse
Ebuka Okoli aliyeandika:On set yesterday with the ever amazing
@officialwaje ft diamond #Coco baby music video shoot. ❤️I bet y’all the
song is one to listen to,the beat is fresh and as always Waje gave the
finishing touches with her super sweet voice
No comments:
Post a Comment