Pages

November 21, 2014

POLISI WAKIWAOKOA WACHEZAJI WA IVORY COAST BAADA YA KUVAMIWA UWANJANI


Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko Abidjan.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...