Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda akipata maelezo juu ya usindikaji wa asali katika maonyesho ya Ufugaji Nyuki na Mazao yake yaliyofanyika jijini Arusha hivi karibuni |
Mmoja wa wajasiriamali akimuonesha Waziri Mkuu, Pinda asali iliyoweka katika hali ya usalama kwa mlaji |
Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa
uzalishaji wa asali na nta, nyuma ya Ethiopia kwa ufugaji nyuki na biashara ya
mazao ya nyuki.Juhudi nyingi zinapaswa kuwekezwa ili mazao ya nyuki
yazidi kuwa na tija kwa Watanzania.
No comments:
Post a Comment