Hiki kituo cha Treni Netherlands ndio kimeshika namba 3
Hii stori imekuja siku chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza
mpango utaofanyiwa kazi hivi karibuni wa kuwepo kwa Treni itayokua
inatumika kusafirisha abiria na kuwapeleka Airport Dar es salaam na
kuwachukua wengine kutoka Airport hadi mjini.
Utafiti huu wa vituo 11 vya treni vyenye mvuto duniani umefanywa na
kampuni ya Emporis Humburg ambapo hakuna hata kituo kimoja cha Afrika
kilichoingia kwenye list.
Namba 1
Namba 2
Namba 4
Namba 5
Namba 6
Namba 7
Namba 8
Namba 9
Namba 10
Namba 11
No comments:
Post a Comment