Kiungo
wa timu ya Simba,Amri Kiemba akuchuana vikali na Mshambuliaji wa timu
ya Yanga,Andrey Coutinho wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na
Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ikiwa
ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Timu hizo zimetoka
sare ya bila kufungana.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
No comments:
Post a Comment