Miss
Tanzania 2014, Siti Abass Zuberi Mtemvu akipunga mkono mara baada ya
kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika shindano lililoshirikisha
warembo 30 na kufanyika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Siti
Mtemvu ametwaa taji hilo lililokuwa likishikiliwa na Happyness
Watimanywa.
Mrembo
wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya
pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa
Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi usiku huu kwenye
ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu alianza kwa
kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni
binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Picha zote na Othman Michuzi.
Redd's Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Happiness Watimanywa akimpisha crown,Redd's Miss Tanzania wa sasa,Sitti Mtemvu.
No comments:
Post a Comment