Mamia
ya wananchi na wafuasi wa Chadema kwenye mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu
wa Chadema, Salumu Mwalimu baada ya kuwasili kwenye ofisi hiyo
Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Dk.Slaa akiteta
jambo na manaibu wake, John Mnyika (kushoto) na Salumu Mwalimu (kulia)
kwenye mkutano na wanachama na viongozi wa chama hicho jana.Dk.Slaa
akiongea na wanachama na viongozi wa Chadema jana
Wanachama na wapenzi wa Chadema wakimsikiliza Dk.Slaa alipozungumza nao kwenye ofisi za chama hicho huko Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Wanachama na wapenzi wa Chadema wakimsikiliza Dk.Slaa alipozungumza nao kwenye ofisi za chama hicho huko Darajabovu mjini Zanzibar jana.
No comments:
Post a Comment