Pages

October 13, 2014

NANI MTANI JEMBE YATINGA ARUSHA KWA KISHINDO

Mashabiki wa timu ya Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni ya Bia mkoani Arusha wakishangilia baada ya kuwashinda mashabiki wenzao wa Simba  jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe mkoa wa Arusha  iliyowakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.

Mashabiki wa timu ya Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni ya Bia mkoani Arusha wakishangilia baada ya kushinda  mashabiki wa Simba  katika mchezo wa kuvuta Kamba jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe mkoa wa Arusha  iliyowakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Makamu Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu(kushoto) na Mjumbe Kamati Kuu ya timu ya Yanga,Mohamed Binda,wakicheza danadana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe kwenye kiwanda cha Bia mkoani Arusha jana.
Makamu Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu akipuliza Vuvuzela jana kwenye kiwanda cha Bia ,mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliwakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni ya Bia mkoani Arusha wakivuta kamba jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliyowakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho

Wafanyakazi wa kiwanda cha Bia,Arusha  ambao ni mashabiki wa timu za Simba na Yanga wakicheza mchezo wa Fossball jana kwenye uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliyofanyika kwenye kiwanda hicho.

 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...