Sehemu ya mashabiki waliojitokeza kwenye dimba la Ushirika, wakifuatilia mchezo kati ya Mwadui na Panone. |
Mashabiki wa Panone wakishangilia goli la kusawazisha lililopatikana katika dakika ya 16 ya kipindi cha kwanza, likifungwa na Tony Kigundu. |
Shangwe zikaendelea |
Ubabe ukatumika... |
Hapa akimrudisha Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kiwelo 'Julio' katika eneo lake. |
Benchi la Ufundi la Mwadui FC, wa kwanza kushoto ni kocha mkuu Jamhuri Kiwelo 'Julio', kulia. |
Julio akitoa maelekezo kwa mchezaji wake |
Mwokota mipira akiwa katika pozi. |
Sehemu ya Jukwaa kuu likiwa limesheheni mashabiki |
Wachezaji wakitoka mapumziko |
Mmoja wa viongozi wa Benchi la Ufundi la Mwadui FC, aliamua kuwavaa maaskari wa Jeshi la Polisi. |
Kocha Jamhuri Kiwelo katikati ya dimba |
Waamuzi wakiondolewa uwanjani kwa Ulinzi mkali muda wa Mapumziko. |
Kocha wa Panone FC, Maka Marwisi, akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko. |
Jamhuri Kiwelo akitoa maelekezo kwa wachezaji wake. |
Heka heka za kuwania mpira ukiendelea katika mchezo huo mkali. |
Mchezaji wa Panone FC, akikimbilia mpira |
Hapa wakiwa wamembeba....hili ni tukio la kushangaza na la aibu kweli.. |
Benchi la ufundi la Panone FC, walipochukua jukumu ya timu ya usalama ya msalaba mwekundu. |
No comments:
Post a Comment