Pages

October 17, 2014

KAJALA AWASHUKIA WANAOMSEMA KUHUSU MALEZI YA MWANAE


Kajala awashukia wanaomsema kuhusu malezi ya mwanae, hichi ndicho alichosema

    "Nawashangaa sana watu wengine mnajifanya mnajua sana kuongea kuhusu mambo yasiyo wahusu kuna mzazi yoyote anataka mwanae apotee acha mambo ya kishamba unataka mtoto avae dira kwani yeye mtu mzima kama unaona namlea mtoto wangu vibaya niachie mwenyewe zaa wa kwako mlee vizuri,"Hayo ni maneno ya mwanadada Kajala aliyoyasema leo baada ya fans wake mbalimbali kuanza “kumponda” kuwa anamlea mtoto wake “ndivyo sivyo” hususani suala kumvalisha mtoto wake vinguo vya “wadada wa mjini”

Kajala ambaye mara nyingi anaonekana akiweka picha mbalimbali za mwanaye huyo aitwaye Paula akiwa kwenye mapozi tofauti alizidi kusisitiza kuwa mtoto huyo ni wake na ambaye hapendi anachofanya basi atafute wake.
Kauli yake hiyo ilipokewa kwa hisia tofauti na mashabiki wake ambao baadhi yao walisema yafuatayo kumsapoti….

“…tena wakukome ma sis wanajua uchungu wako ulioubeba au  wanajua umemkuzaje mpaka kufika ... nyamafu hao wakosa akili wana low life yamaisha they av got nothing better to do Wa africa uwa tunamatatizo dunia nzima mtoto wa mwenzio anakuhusu nini ukse umuongelee kweli Education kitu kuzuri ukisoma unafikilia utaongelea kiumbe we kazi. Acheni ujinga na utumwa business za wenzenu zinakuwa zenu.. thats ma bby paullet right there and am proud she is a grown gal hun.. kay ma mdogo never give a Fuck life is unbilivable!!!! Family first...”
Na wengine walizidi kukazia kuwa abadilike kwani hiyo sio sawa kwa kusema…

“Umeambiwa kistaarabu tu hako nguo ckazur kwa umri wake ukizingatia unamtoto mrembo hebu uwe unamvalisha vzr sio nguo zakumfanya wanaume waanze kumtaman…

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...