Mbunge wa Mbozi Mashariki,David Silinde(shoto) ,Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless wakiwa nje ya ukumbi mara baada ya kumalizika kwa shughuli ya uchaguzi wa Naibu Meya uliofanyika leo,Diwani wa Kata ya Daraja mbili ,Prosper Msofe aliibuka mshindi |
No comments:
Post a Comment