WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA NA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROFESA SOSPETER MUHONGO BAADA YA BEJETI KUPITA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa Sospeter Muhongo(kulia) na mkewe, Bertha Mamuya
(kushoto) baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa na Bunge Mjini
Dodoma, Mei 30, 2014.
Wengi ni Mabinti wa Waziri huyo,Bertha Kimariyo (wapili kushoto) na Nyasige Peter.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia ya Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha
bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei 30, 2014. Wapili kulia ni Mke wa
Waziri huyo, Bertha Mamuya na wengine ni mabinti wa Waziri , Nyasige
Sospeter (kushoto) na Bertha Kimariyo . (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment