Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Naibu waziri Mawasiliano
Sayansi na Technolojia na mbunge wa Bumbuli January Makamba wakati wa
harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Bumbuli Shughuli hiyo
imefanyika katika Hotel ya Golden Tulip (Ijumaa) Tarehe.16.05.2014Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wimbo wa wanabumbuli mara baada ya
kuwasili katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip kwa ajili ya harambee
ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Kilutheri la Bumbuli, Kushoto ni askofu
mkuu wa KKKT Dr.Gerhas Malasusa, Watatu Kulia ni Dkt.Steven Munga wa
Lushoto na kulia ni mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na teknolojia Mh.January Makamba Katika harambee
hiyo jZaidi ya Shilingi milioni mia tatu zilipatikana(picha na Freddy
Maro).
No comments:
Post a Comment