Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo (Mb.) (kushoto) akiingia katika ukumbi wa Deustche
Bank uliopo Berlin, Ujerumani kabla ya kuzindua rasmi sherehe za jubilee ya
muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kulia ni balozi wa Tanzania Ujerumani Mhe.
Philip Marmo.
Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akizungumza na
baadhi ya wajumbe waliohudhuria
sherehe hizo
Kikundi cha ngoma za sanaa kutoka
Jeshi la Wananchi Tanzania kikitumbuiza kabla ya kuanza kwa sherehe hizo.
Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akibadilishana mawazo na balozi wa heshima wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania jijini Hamburg Petra Hammelmann. Kulia ni mume wa balozi huyo
Bw.Bertold Zink.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) (wa pili kutoka kulia) akiwa amesimama kwa
heshima na wajumbe wengine wakati wimbo wa taifa ukipigwa na kikundi cha ngoma
za sanaa cha Jeshi la Wananchi Tanzania
Balozi wa Tanzania nchini
Ujerumani Mhe. Philip Marmo akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo ili afungue maadhimisho hayo
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb)
akifungua sherehe hizo
Mhadhiri kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam Profesa Palamagamba
Kabudi (wa tatu kutoka kulia) akichangia mjadala juu ya historia ya ushirikiano
baina ya Tanzania na Ujerumani wakati wa maadhimisho ya sherehe hizo
No comments:
Post a Comment