Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Watanzania hapa Washington DC kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.Mh:Mwigulu
Nchemba akiongozwa na Balozi wa Tanzania hapa Washington DC Bi.Libereta
Mulamula Kuelekea Kufungua Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania
hapa Washington DC.Mke
wa Mh:Mwigulu Nchemba (Kulia)akisalimiana na Mwanamitindo Maarufu wa
Mavazi hapa Washington DC na Viunga Vyake Miss Temeke wa "KWETU
FASHION".
Ukuta Umependeza kwa Baongo Kubwa la Miaka 50 ya Muungano hapa Ubalozini Washington.Mh:Mwigulu Nchemba akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Vitu Mbalimbali vya asili ya Tanzania nje ya Jengo la Ubalozi wa Tanzania hapa Wahsington DC.
No comments:
Post a Comment