Pages

April 21, 2014

BREAKING NEWS...AJALI MBAYA YA BASI YAUA WATU ZAIDI YA 20 HUKO SIMIYU...!

Habari zilizoufikia hivi punde kutoka mkoani Simiyu ni kwamba watu zaidi ya 20 wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la Luhuye walilokuwa wanasafiria kutoka Musoma kwenda Mwanza kugonga nyumba na kupinduka wilayani Busega mkoani Simiyu.
Inaelezwa kuwa majeruhi hawana msaada kwani ajali hiyo imetokea eneo la kijijini.
Habari Kamili kuhusu tukio hili la kusikitisha zitakujia hivi punde kupitia mtandao huu!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...