Wimbi Ajali Limeendelea Kuwaidhiri wananchi wa Tanzania Ambapo Ajali imetokea Mkoani Arusha Eneo la Majengo Ambapo Basi Limemgonga Mwendesha Baiskeli na Kumuumiza Vibaya.
akiwa ameumia vibaya Mguuni baada ya kugongwa na Basi hilo
Picha na Arusha yetu Blog
No comments:
Post a Comment