
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe Mizengo
Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John Sitta, Makamu Mwenyekiti
wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan Katibu wake Mhe yahaya Khamis
Hamad na naibu katibu Dkt Thomas Kashilia na Mawaziri Mhe John Lukuwi
na Mhe Aboud baada ya zoezi la kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa
Bunge Maalum lililofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma Machi 14, 2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Wastaafu Mhe Olesegun Obasanjo
wa Nigeria, Festus Mogae wa Botswana, Mzee Benjamin William Mkapa, na
(walioketi kulia kwa Rais) Mhe Pedro Pires Rais Mstaafu wa Cape Verde,
Thabo Mbeki wa Afrika Kusini, Mhe Joachim Chisano wa Msumbiji na Rais wa
Benki ya Afrika Dkt Donald Kaberuka. PICHA NA IKULU

إرسال تعليق