Kadi mpya ya malipo ya matibabu katika Hospitali ya KCMC inavyoonekana.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB akizungumza wakati wa uzinduzi wa KCMC Tembo
Card itakayotumika kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya
KCMC.Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya KCMC Tembo Card kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC badala ya fedha taslimu.
Baadhi
ya maofisa wa Benki ya CRDB, wakiwa katika uzinduzi huo. Kushoto ni
Mkurgenzi wa benki ya CRDB tawi la Arusha, Chiku Issa na wa pili kulia
ni Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Mikopo Mikubwa, Philip Alfred.
Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya KCMC.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akimkabidhi KCMC
Tembo Card, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao, itakayowawezesha wagonjwa
wanaofika katika Hospitali ya KCMC kulipia huduma za matibabu kwa njia
ya kadi badala ya fedha taslimu. Uzinduzi huo ulifanyika mjini Moshi,
mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali
hiyo, Prof. Raimos Olomi.
Mkuu
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya
Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akikata utepe wakati wa uzinduzi wa
malipo ya matibabu kwa kutumia kadi ijulikanayo KCMC Tembo Card katika
hospitali ya KCMC mjini Moshi. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati), akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao.
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini , Askofu Dk. Martin Shao akilipia
huduma za matibabu katika Hospitali ya KCMC kwa kutumia kadi maalum ya
KCMC Tembo Card badala ya fedha taslimu, wakati wa uzinduzi wa huduma
hiyo uliofanyika mjini Moshi.
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akionesha kadi ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC.
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya KCMC, Prof. Raimos Olomi akilipia
matibabu katika hospitali hiyo kwa kutumia kadi maalum ya KCMC Tembo
Card.
Dk. Kimei akipanda mti wa kumbukumbu.
Zoezi la upandaji miti likiendelea.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa KCMC Tembo Card mjini Moshi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi mstaafu, IGP Said Mwema akipata chakula wakati wa hafla hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya KCMC, Prof. Raimos Olomi (kulia) na Mkurugezni wa CRDB, Dk. Charles Kimei wakipata chakula.










إرسال تعليق