Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Ujumbe wake
wakiongozana na Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Indra Gandhi,Rais atakua nchini
India kwa ziara rasmi ya siku tisa.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na akizungumza na Balozi
wa India nchini Tanzania Debnath Shaw katika ukumbi wa VIP wa uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Indra Gandhi Nchini India Rais akiwa huko atatembelea sehemu mbali
mbali ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein akiwa na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana
Wanawake na Watoto,Bi Zainab Omar,wakiwa katika ukumbi wa VIP wa uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Indra Gandhi Nchini India Ujumbe wa Rais Dk.Shein, utatembelea
sehemu mbali mbali ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi
na Kijamii.
Waziri wa Biashara Viwanda
na Masoko Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mahadhi Juma Maalim,ni miongozi mwa ujumbe wa Rais wa Zanzibar katika
safari rasmi nchini india,hapa wakiwa katika ukumbi wa VIP wa uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Indra Gandhi Nchini India ambapo utatembelea sehemu mbali mbali
ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na
Kijamii.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wa
walikaribishwa kwa ngoma za asili mara baada ya kufika katika hoteli ya Oberoi
Taj Vilas,katika jimbo la Rajastani Nchini India Rais akiwa huko atatembelea
sehemu mbali mbali ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi
na Kijamii.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe aliofuatana nao
wakipata maelezo kutoka kwa Kiongozi Panraj Dharendra,katika Sehemu ya Historia
inayoitwa Amber,wakati alipotembelea sehemu hiyo maarufu katikan jimbo la
Rajastan Nchini India,akiwa huko Rais atatembelea Taasisi mbali mbali ikiwa ni
katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha
wageni wanaotembela Sehemu ya Historia inayoitwa Amber, maarufu katika jimbo la
Rajastan Nchini India,RAIS akiwa huko atatembelea Taasisi mbali mbali ikiwa ni
katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na
Kijamii.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisaini kitabu cha
wageni wakati alipotembela Sehemu ya Historia inayoitwa Amber, maarufu
katika jimbo la Rajastan Nchini India,RAIS akiwa huko atatembelea Taasisi mbali
mbali ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na
Kijamii.Picha na Ramadhan Othman,India
No comments:
Post a Comment