Pages

January 19, 2014

BREAKING NEWS !!! HILI NDILO BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LA TANZANIA.

KATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI SEFUE.

Katibu Mkuu Kiongozi ametangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri baada ya Mawaziri wanne kujiuzuru hivi karibuni kufuatia kashfa ya ukikwaji wa Haki za binadamu wakati wa Operesheni Tokomeza(OT)
- Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu

- Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri kamili

- Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima

- Asha-Rose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria

- Ulinzi na Kujenga Taifa ni Dk. Hussein Mwinyi ambaye amewahi kushika wizara hiyo hapo awali.

- Mambo ya Ndani - Wakili Mathias Chikawe

- Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri kamili; naibu  Dr. Kebwe S. Kebwe

- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Mbunge wa Peramiho,Jenista Muhagama

- Pindi Chana amejaza nafasi ya Ummy Mwalimu - Jinsia na watoto

- Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Dk Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Saning'o Ole Telele ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro

- George Simbachawene Naibu wa Wizara ya Ardhi

- Naibu Kilimo - Zambi

- Habari - Naibu ni Juma Nkamia

- Lazaro Nyalandu amekuwa Waziri kamili wizara ya Maliasili na Utalii. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa

- Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...