Pages

December 31, 2013

RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea rasmi Rasimu ya Katiba Mpya ambayo itajadiliwa hapo baade na Bunge maalum la Katiba. Rais Kiwete amepokea Rasimu hiyo kutyoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba katika Makabidhiano yaliyofanyika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo. BOFYA HAPA KUSOMA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...