WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YA AFRIKA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mizengo Pinda(katikati)akifurahia jambo na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika,Sofia Akkufo(kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania,Othman Chande baada ya kufungua mkutano wa mahakama hiyo na Majaji wakuu wa nchi za Afrika jana.
Baadhi ya Majaji wakifatilia hotuba ya Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa mahakama za Afrika jijini Arusha jana.
No comments:
Post a Comment