![]() |
Waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi, Leontine Nzeyimana ambaye alikua mgeni rasmi katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika katika Hotel Club du Luc Tanganyika jiji la Bujumbura,Burundi |
![]() |
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Burundi,Leontine Nzeyimana akimkabidhi cheti mshiriki wa mafunzo ya kuripoti habari za Amani na Usalama,Mhariri wa Citizen TV ya Kenya,John Kimeli |
![]() |
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Burundi,Leontine Nzeyimana akimkabidhi cheti mshiriki wa mafunzo ya kuripoti habari zenye migogoro,Mwandishi wa Gazeti la News Times,James Karuhunga |
![]() |
Kikundi cha Ngoma kutoka nchi ya Rwanda kikitumbuiza katika hafla hiyo na kuwafanya waliohudhuria kuinuka kwenye viti vyako. |
![]() |
No comments:
Post a Comment