Pages

November 12, 2013

BALOZI AWALAKI WAANDISHI WA HABARI KUTOKA TZ

Balozi wa Tanzania nchini Burundi,Dk James Mwasi Nzagi(kushoto)akizungumza na waandishi wa habari kutoka Tanzania ambao wapo jijini Bujumbura kwa mafunzo ya siku nne na mkutano wa Amani na Usalama katika Kanda ya Afrika Mashariki(EAC)uliofadhiliwa na Shirika la Maendeleo ya Ujerumani(GIZ) 


Balozi Dk Nzagi akifurahia jambo na wageni katika ofisi za Ubalozi zilizopo mtaa wa Kabondo jijini Bujumbura.

Balozi wa Tanzania nchini Burundi,Dk James Mwasi Nzagi(kushoto) na Afisa Ubalozi,Elias Tamba wakiwa kwenye picha ya pamoja na waandishi wa habari kutoka Tanzania kutoka kushoto waliosimama ni Peter Saramba(Mwananchi-Arusha)Filbert Rweyemamu(Mwananchi-Arusha)Dismass Lyasa(Mwananchi-Dar)Rosemary Mirondo(The East African-Dar) na Godwin Msalichuma(Majira-Mtwara)  

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...