Mtoa mada na Mtafiti wa Ugonjwa wa Kifua Kikuu(TB)Dr Said Egwaga akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Ngurdoto mkoani Arusha juu ya utafiti walioufanya mwaka 2011 katika wilaya 62 nchini ulibaini kati ya watu Laki moja kuna wagonjwa wa Kifua Kikuu 295 na waliothirika zaidi ni wanaume ukilinganisha na wanawake na idadi kubwa iko maeneo ya Vijijini ukilinganisha na mijini tofauti na walivyotarajia.
Mratibu wa Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele nchini.Dr Upendo Mwingira akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika mkutano wa Kimataifa cha taasisi za afya za jamii unaofanyika mkoani Arusha.
Wataalamu wakifatilia mada zilizokua zikiwasilishwa na mabingwa wa tafiti za magonjwa ya binadamu.
Wataalamu wakifatilia mada zilizokua zikiwasilishwa na mabingwa wa tafiti za magonjwa ya binadamu .
No comments:
Post a Comment