Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akikata utepe katika ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External Dar es Salaam jana.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dk Alex Malasusa akimtambulisha kwa waumini wa kanisa hilo la usharika wa Mabibo External sanjari na kumtia moyo katika utendaji wake Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika kwenye ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment