Pages

September 5, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE USO KWA USO NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA



Rais wa Tanzania,Jakaya Kikwete na mwenzake wa Rwanda,Paul Kagame wamekutana leo jijini Kampala na kuwa na mazungumzo wakati wakiwa kwenye mkutano wa nchi za maziwa makuu zinazojadili amani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,DRC

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...