RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI WASHINGTON, DC
Rais Dkt Jakaya Kiwete
akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na
ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na
Vallejo, California.
Rais Dkt Jakaya Kiwete
akisalimiana na Mwambata mpya wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada
Kanali Adolph Mutta ambaye anachukua nafasi ya Brigedia Jenarali Emamanuel
Maganga ambaye amemaliza muda wake.
Rais Dkt Jakaya Kikwete
akisalimiana na Afisa Ubalozi Emmanuel Swere kwenye hotel ya Ritz Calton wakati
alipowasili Washington, DC.
Rais Dkt Jakaya Kikwete
akisalimiana na Afisa Ubalozi Catherine Kijuu.
Rais Dkt Jakaya Kikwete
akisalimiana na Mfanyakazi wa Ubalozi, Love Maganga
Rais Dkt Jakaya Kikwete
akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi, Mayor Mlima
Rais Dkt. Jakaya Kikwete
akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi Mariam Mkama.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete
akisalimiana na mfanyakazi wa Ubalozi Carol Mbilinyi.
Rais Dkt Jakaya Kikwete
akisalimiana na mfanyakzi wa Ubalozi Rani Servin.
Balozi wa Heshima kutoka
San Francisco California, Ahmed Issa akisalimiana na Afisa Ubalozi Suleiman
Saleh aliyesimama kati ni Sherry Julian (mke wa Ahmed
Issa)
No comments:
Post a Comment