PICHA 4 ZA DIAMOND AKIWA NDANI YA KUALA LUMPUR-MALAYSIA
Diamond jana tarehe 20/9 amefanya show ndani ya jiji la Kuala Lumpur huko Malaysia. Tangu juzi alikuwa ameshafika na hizi ni baadhi ya picha ambazo Diamond amezipiga akiwa huko Kuala Lumpar kabla ya kufanya show jana usiku kwa muda wa huko.
No comments:
Post a Comment