Wahamiaji haramu waliokamatwa wilayani Mwanga
wakiwa katika gari lenye tela.wakifikishwa makao makuu ya uhamiaji ya mkoa wa
Kilimamnjaro mjini Moshi
Wahamiaji haramu waliokamatwa wilayani Mwanga
wakiwa katika gari lenye tela.
Wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia
waliokamatwa eneo la Mwanga
wakitokea nchini
Kenya.
Mmoja wa wahamiaji haramu raia wa Ethiopia
aliyafahamika kwa jina la Jamal
Amir akilia kwa uchungu baada ya kukamatwa na maofisa wa uhamiaji katika eneo la
Mwanga.
Ni majonzi na masikitoko
baada ya dili kubumburuka...
Mkuu wa uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johanes
Msumule akizungumza mara baada ya
kukamatwa kwa wahamiaji haramu 18 kutoka nchini
Ethiopia.
Mkuu wa uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johanes
Msumule akizungumza jambo na mmoja
wa wahamiaji haramu aliyefahamika kwa jina la Jamal Amir mara baada ya kukamatwa wakiingia nchini bila kufuata
taratibu.
Baadhi ya wahamiaji haramu wakilia kwa uchungu
mara baada ya kukamatwa wakiingia
nchini bila kufuata taratibu.
Wahamiaji haramu wakienda kunawa mikono na
kipata chakula kilichotolewa na
ofisi ya uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro baada ya wengi wao kuonekana kudhoofika kutokana na
kukosa chakula kwa muda mrefu.
Wahamiaji haramu wakipata
chakula
No comments:
Post a Comment