Kuelekea mashindano ya Miss Tanzania ambayo yatafanyika Jumamosi hii tarehe 21/9 kwenye ukumbi wa Mlimani city,mrembo Prsica Clement toka kitongoji cha Sinza amefanikiwa kuwa mshindi wa miss talent.Baada ya kuwa mshindi wa shindano la Redd’s Miss Talent kwa mwaka huu amefanikiwa kupata tiketi ya kuingia hatua ya 15 bora ya shindano la Redd’s Miss Tanzania.
Brigette Alfred ndiyo mrembo anayeshikilia taji la Miss Tanzania hadi hivi sasa. Mr Makoye mmoja kati ya waandaji wa mashidano ya Miss Tanzania akiongea na millardayo.com alisema,”Miss talent imeshafanyika na wiki hii yani Jumamosi kwa mara nyingine tena tutakuwa na fainali za Miss Tanzania. Hadi sasa warembo bado wapo kambini na cream tuliyoipata kutoka kwenye vitongoji, tunaamini tutapata mrembo wa kuigwa”

No comments:
Post a Comment