Pages

September 8, 2013

BONANZA LA NANE KWA VYOMBO VYA HABARI LAFANA ARUSHA LEO

Kikosi cha timu ya Taswa Dar wakifanya mazoezi kabla kuikabili timu ya Radio 5 ya Arusha kwenye bonanza la vyombo vya habari linaloendelea kwenye uwanja wa General Tyre jijini Arusha.Bonanza limeandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za michezo mkoa wa Arusha(Taswa-Arusha)Picha zote na Filbert Rweyemamu
Kikosi cha timu ya waandishi wa habari za michezo Dar es Salaam(Taswa -Dar)katika picha ya pamoja leo

Juma Pinto(shoto)wa Taswa Dar akichuana na beki wa Radio 5,Taswa waliibugizia mabao 3-1

Mtanange baina ya ORS Radio ya Mkoani Manyara na Sunrise Radio ya jijini Arusha.

Kikosi cha timu ya wasichana katika Chuo cha Uandishi wa habari Arusha(AJTC QUEENS)
Wadau wakifatilia bonanza 

Waandishi wa habari wakibadilishana mawazo wakati wakifatilia michezo mbalimbali iliyokua ikifanyika kwenye uwanja wa General Tyre jijini Arusha,kutoka kushoto waliokaa ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mkoa wa Manyara,Joseph Lyimo,Geofrey Stiven wa Radio 5 na Mpigapicha wa ITV Arusha,Hussein Tuta
Wadau kutoka Chuo cha Uandishi wa habari Arusha wakiwa kwenye pozi.
Benchi la ufundi la Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha likiongozwa na Mr Elifuraha Samboto(kulia)wakifatilia kwa makini

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...