KIONGOZI wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe ametolewa nje ya Bunge, baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo. Mh Ndugai aliamuru askari wa Bunge kumtoa nje,hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka ispokua Mbunge wa Vunjo,Mh.Augustine Mrema wa Tanzania Labour Party(TLP).
Upinzani Bungeni unadai muswada wa katiba 2013 unamapungufu. CHANZO ITV
No comments:
Post a Comment