![]() HIVI NDIVYO WANANCHI WALIVYOZIKUSANYA KADI ZA CCM NA KISHA KUMKABIDHI TUNDU LISSU ALIYEAMUA KUZICHOMA MOTO HADHARANI. |
![]() |

Baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo Mhe Tundu Lissu hakuja nazo akazichoma moto.
CHANZO http://mbondelewis.blogspot.com
No comments:
Post a Comment