Pages

June 29, 2013

MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO YAJENGA VIEW POINT KUWAWEZESHA WATALII KUANGALIA CRATER KWA UZURI


Mafundi wakitengeneza eneo litakalokuwa likitumiwa na watalii kuangalia mandhari ya bonde(Crater)ya Ngorongoro ambayo ni kati ya maajabu ya dunia ukiwa hapo utaweza kuona wanyama wa aina mbalimbali ukiwa unajiandaa kwenda kuwaona kwa karibu.


Mafundi wakitengeneza eneo litakalokuwa likitumiwa na watalii kuangalia mandhari ya bonde(Crater)ya Ngorongoro ambayo ni kati ya maajabu ya dunia.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...