![]() |
| Meneja wa Huduma za Utalii wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)Amiyo Amiyo(kushoto)akisalimiana na msanii Lina Sanga na Nassib Abdul aka Diamond |
![]() |
| Wasanii Lina Sanga na Nassib Abdul wakimsikiliza afisa wa utalii wa NCAA walipotembelea Bonde la Ngorongoro hivi karibuni |
![]() |
| Wasanii Lina Sanga na Diamond wakiangalia picha za utalii |
![]() |
| Mdau wa Utalii kanda ya Kaskazini,Amiri Mvungi akipozi na Diamond |
![]() |
| Tour Guide akipata taswira na Diamond ndani ya Crater ya Ngorongoro |
![]() |
| Diamond akichat na mashabiki wake kuwajulisha maajabu ndani ya Crater ya Ngorongoro mkoani Arusha,kushoto kwake ni watalii kutoka mataifa mbalimbali .Picha zote na Filbert Rweyemamu |







Post a Comment