![]() |
| Profesa Mark Mwandosya na Mkewe,Lucy wakisaini kitabu chake kilichozinduliwa leo baada ya kununuliwa na wadau |
![]() |
| Makamu wa Rais ,Dk Mohamed Gharib Bilal akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa watoa huduma na kuzindua kitabu cha Profesa Mark Mwandosya |
![]() |
| Profesa Mark Mwandosya akiendelea kusaini kitabu chake |
![]() |
| Mwonekano wa Kitabu kwa nje |
![]() |
| Profesa Mark Mwandosya akijibu maswali ya waandishi wa habari,Eliya Mbone wa gazeti la Mtanzania na Zephania Ubwani wa The Citizen baada kuzindua kitabu chake |
![]() |
| Profesa
Mark Mwandosya akijibu maswali ya waandishi wa habari Zephania Ubwani wa The Citizen(Arusha)jijini Arusha leo na Queen Lema wa Majira(Arusha) baada kuzindua
kitabu chake |








إرسال تعليق