Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Mfuti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ally na Balozi wa
Mororcco nchini Mhe. Abdellah Benyryane wakati akiwasili kukagua
maendeleo ya ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania
(BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco
Kinondoni jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wakandarasi wa ujenzi wakati akiwasili kukagua maendeleo
ya ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA)
unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni
jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameongozana na Mfuti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ally na
Balozi wa Mororcco nchini Mhe. Abdellah Benyryane akikagua maendeleo ya
ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA)
unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni
jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo toka kwa Mfuti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry
Ally na Balozi wa Mororcco nchini Mhe. Abdellah Benyryane alipokagua
maendeleo ya ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania
(BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco
Kinondoni jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Sehemu ya msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA)
unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni
jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mfuti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ally akimshukuru Balozi wa
Mororcco nchini Mhe. Abdellah Benyryane baada ya kukagua maendeleo ya
ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA)
unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni
jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti mkuu wa
Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa
Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo
Juni 12, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mfuti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ally na Balozi wa Mororcco
nchini Mhe. Abdellah Benyryane na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe.
Paul Makonda akimsikiliza mjumbe wa Nyumba Kumi wa Konondoni Shamba Bw.
Rashidi Mohamed Mashaushi anayeeelezea kuhusu changamoto ya barabara na
mfereji wa maji eneo lao baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa
msikiti mkuu wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa kwa
ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es
salaam leo Juni 12, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga
wananchi baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza
Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme
Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Juni 12,
2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mfuti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ally aliye na Balozi wa
Mororcco nchini Mhe. Abdellah Benyryane na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam
Mhe. Paul Makonda baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti mkuu
wa Baraza Kuu la Waisalmu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa
Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo
Juni 12, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Mororcco nchini Mhe. Abdellah Benyryane aliye na Mfuti wa
Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ally na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam
baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza Kuu la
Waisalmu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa
Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikutana
na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vatican Nchini Mhashama Askofu Mkuu
Mrek Solezyriski Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza Balozi wa Vatican Nchini Mhashama Askofu Mkuu Mrek
Solezyriski baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini
Dar es salaam leo Juni 12, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Vatican Nchini Mhashama Askofu Mkuu Mrek Solezyriski baada ya
kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni
12, 2018
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment