Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa
Shule ya Msingi Kalambo zilizopo Iringa vijijini wakati alipokuwa
njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi
la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Iringa vijijini katika eneo la Ndiwili (hawaonekani
pichani) wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya
uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi
kwa kuimba nyimbo na vijana chipukizi wa Kilolo mara baada ya kuhutubia
wananchi waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa
ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipatiwa maelezo kutoka kwa msimamizi wa ukandarasi wa TBA juu ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipiga makofi baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Mei 2, 2018*
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Juma Abdallah kwenye sherehe ya kuweka jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo
mkoani Iringa Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa CCM mkoa wa Iringa kwenye sherehe ya kuweka jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo
mkoani Iringa Mei 2, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo, Bw.
Aloyce Kwezi kwenye sherehe ya kuweka jiwe la la msingi la ujenzi wa
Hospitali ya Wilaya hiyo mkoani Iringa Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa wabunge wa mkoa wa Iringa na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mbunge wa Kilolo Mhe. Venance Mwamoto na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (kulia) katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi pamoja na wanafunzi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Mei 2,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi walipomsimamisha eneo la Ipogolo alipokuwa anatoka katika sherehe za uwekaji wa jiwe la la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea Mei 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zwadi kutoa kwa Rasi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea Mei 2, 2018. Kulia ni Kaimu Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Profesa Bonaventure Rutinwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa mkoani Iringa alipotembelea Mei 2, 2018
No comments:
Post a Comment