Pages

May 14, 2018

KILIMANJARO BIA YA TANZANIA KINYWAJI RASMI KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI

 Meneja wa kiwanda cha Ilala, Calvin Martin na Meneja Masoko George Kavishe, wakiongoza wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa promosheni ya bia ya Kilimanjaro kufanya cheers
 Maofisa waandamizi wa ABinBev wakifuatilia matukio na shamrashamra wakati wa hafla ya uzinduzi
 Wageni waalikwa na wafanyakazi wa TBL wakiburudika wakati wa uzinduzi huo
 Shamrashamra mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi
 Shamrashamra mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi
Wageni mbalimbali wakifuatilia matukio na kupata burudani wakati wa uzinduzi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...