Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezikwa
kiongozi wa timu ya Freemason Fc ya Vingunguti, Sudi Rashid
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezikwa
kiongozi wa timu ya Guantanamo Fc ya Vingunguti ,Abdul Mgohela
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezikwa
kiongozi wa timu ya Msako FC ya Kigogo Kani Masumbola wakati wa hafala
ya kukabidhi jezi kwa timu nne zilizo ingia nusu fainala ya Vingunguti
Super Cup
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezikwa
kiongozi wa timu ya Relini Fc wa Vingunguti Halidi Kitapagala
Baadhi
ya wajumbe wa timu zilizoingia Nusu Fainali ya Vingunguti Super Cup
wakisikiliza maneno ya viongozi wakati wa mkutano huo wa kugawa jezi
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa timu waliokabidhiwa jezi
Naibu
Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza kabla ya kugawa
jezi kwa timu nne zilizofika katika hatua ya nusu fainali ya Mashindano
ya Vingunguti Super Cup yaliyoshirikisha timu 24 za Jijini Dar es
Salaam
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto , akionesha moja ya
jezi ya timu zilizofika hatua ya nusu fainali ya Mashindano ya
Vingunguti Super Cup yaliyoshirikisha timu 24 za Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti
wa Mashindano ya Vingunguti Super Cup Kombo Mbuya akizungumza wakati
wa hafla ya kugawa jezi kwa timu zilizofika nusu fainali
Muandaaji
wa Mashindano ya Vingunguti Super Cup , Spia Mbwembwe akizungumza
wakati wa hafla ya kugawa jezi kwa timu nne zilizoingia nusu Fainali ya
kombe hilo
--

Post a Comment