Mkurugenzi
Mkuu wa Baraza la uwezeshaji wa kiuchumi nchini(NEEC),Bengi Issa
akizungumza wakati alipokuwa akifungua Warsha ya Faida za kumuwezesha
Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya
mitandao ya simu iliyofanyika katika ukumbi wa Tasisi ya utafiti nchini
REPOA Jijini Dar es Salaam leo kwa kushirikiana na IDRC na TASAF.
Mkurugenzi
Mkuu wa Tasisi ya utafiti ya REPOA ,DK .Donald Mmari akizungumza kabla
ya kumkaribisha mgeni rasmi ili aweze kufungua Warsha ya Faida za
kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa
njia ya mitandao ya simu
Muwakilishi
wa tasisi ya IDRC Kutoka nchini Canada ,Dr Arjan De Haan akizungumza na
na wadau waliofika katika warsha hiyo namna taasisi yake ilivyohusika
katika tafiti za kumuwezesha mwanamke kiuchumi kupitia mtandao wa simu.
Mtafiti
kutoka Tasisi ya Utafiti ya REPOA , Dr.Abel Kinyondo akizungumza na
wadau walioshiriki Warsha ya Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi
kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu ambapo
alipata fursa ya kuwaeleza wadau faida na changamoto ya huduma hiyo
katika mradi wa TASAF.
Mtafititi
kutoka Tasisi ya Utafiti ya REPOA, Dr. Blandina Kilama akitoa neno la
ukaribisho kwa wadau waliofika katika Warsha ya Faida za kumuwezesha
Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha kwa njia ya
mitandao ya simu iliyoandaliwa na REPOA kwa kushirikiana na IDRC na
TASAF
Washiriki
wa warsha hiyo wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi wakati wa
Warsha Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi
ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu
Washiriki
wa warsha hiyo wakifatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi wakati wa
Warsha Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi
ya fedha kwa njia ya mitandao ya simu.

Post a Comment