Pages

October 21, 2017

WAFANYABIASHARA KATIKA VITUO VYA MWENDOKASI WAONDOLEWE –WAZIRI JAFO

      Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jaffo (katikati) akikaguakituo cha Kivukoni wakati waziara yake katika vituo vya mabasi yaendayo haraka,kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka(DART) Leonard Lwakatare na Mkurugenzi wa Uendeshaji na Usimamizi wa miundombinu Eng. John Shauri .

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Mhe. Selemani Jaffo (katikati) akimskiliza mwananchi Bi.SalmaHoza (mbele) akitoa maoni yake kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa mabasi yanedayo haraka (DART)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ,Mhe. Selemani Jaffo (katikati) akifuatilia mwenendo wa mabasi yaendayo kwa haraka(hayapopichani) yanayofanya kazi katika vituo vya kushushia na kupakia abiria

      Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Selemani Jaffo (kulia) akitoa maelekezo kwa wataalam wa wakala wa mabasi yaendayo haraka (DART) wakati wa ziara yake katika vituo vya Mabasi hayo kulia ni Mtendaji Mkuu wa DART Leonard Lwakatare.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...