Meli
ya BGP EXPLORER kutoka China itayoshughulika na Utafiti wa Mafuta na
Gesi ambayo imezinduliwa na Makamo wa Rais wa Zanzibar Bolozi Seif Ali
Idi ikiwa imetia nanga katika Bandari ya Zanzibar.
Baadhi
ya waheshimiwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa
Mafuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China katika Visiwa vya Zanzibar
wakisikiliza Hotuba ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Idi hayupo pichani uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Ali Khalil Mirza akitoa
maelezo mafupi ya Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP
EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Meneja
Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS Dk,Osama akizungumza machache kuhusiana na
Utafiti wa Mafuta na Gesi katika Visiwa vya Zanzibar katika Uzinduzi wa
Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi
uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Muakilishi
wa Kampuni ya BGP EXPLORER Gou Yunhui akizungumza machache katika
Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China
uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Waziri
wa Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib akitoa hotuba ya
makaribisho katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP
EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya
Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China
uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.kulia ni Waziri wa
Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib na kushoto ni Meneja
Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS Dk,Osama.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akiwa kartika
picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali katika Uzinduzi wa Meli ya
Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika
katika Bandari ya Zanzibar.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akiwa na
viongozi wengine akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa
Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika
Bandari ya Zanzibar.

Post a Comment