Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp
Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru
na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika
Kanisa la Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Kurasini Jijini Dar es
Salaam.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora, Paul Ruzoka akiaga mwili
wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul
Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la
Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Rais, Ngusa Samike akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa
Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa
iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es
Salaam.
Baadhi
ya Mapadri nao wakipita mbele kuaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa
Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa katika
Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Jeneza
lenye mwili wa marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi
Castor Paul Msemwa likiwa limebebwa na Mapadri wakielekea ndani ya
Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Viongozi
mbalimbali, Mapadri, Maaskofu pamoja na waamini wa Kanisa Katoliki
wakiwa katika misa ya kumuombea Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru
na Masasi Castor Paul Msemwa katika Kanisa la Baraza la Maaskofu
Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania Askofu Mkuu wa jimbo Kuu la
Dodoma Beatus Kinyaiya akizungumza kabla ya kuaga mwili wa marehemu
Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa katika
kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Paul Ruzoka akizungumza katika
Misa ya kumuombea Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi
Castor Paul Msemwa katika kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini
Dar es Salaam.
Waumini wa kanisa Katoliki wakiwa katika Ibada ya kumuombea Marehemu katika Kanisa hilo jijini dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano katika Baraza la Maaskofu Tanzania Benard James
akizungumza mara baada ya Misa hiyo. Picha na Mpiga Picha wetu.













Post a Comment