Mshindi
wa kwanza katika mashindano ya uandishi bora wa habari za sayansi na
kilimo (Biotchnolojia) katika kuendeleza Kilimo, Gerald Kitabu
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Elimu ,
Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya
kumkabidhi cheki ya Dola 1500 kwa kuwa mshindi wa mashindano ya uandishi
bora wa habari za Sayansi makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi
wa mikutano wa Tume ya Sayansi (Costech) jijini Dar es Salaam .
Katika
tuzo hizo Mshindi wa Kwanza amezawadiwa cheki ya Dola 1500, wapili dola
1200 na watatu Dola 100o na wengine Dola 750, 375 na 250 pia baadhi ya
Vyombo vya habari wamezawadiwa cheti cha Shukrani kwa kuchapisha kazi za
Sayansi na Kilimo.
Ukiacha
Gerald Kitabu wengine ni Kelvin Gwabara, Innocent Mugune, Coletha
Makurwa, Shadrack Sagati, Elias Msuya, Fatma Abdul, Lucy Ngowi, Restuta
Damian, Heren Kwavava, Daniel Sembelya na Zakaria Gabriel.
Baadhi ya washindi wa Tuzo za uandishi mahiri wa habari za Sayansi na Kilimo(Bioteknolojia) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako na Mkurugenzi
Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla ya kuwazawadia washindi wa
habari waliofanya vizuri zaidi kwenye kuandika na kuelimisha umma
kuhusu matumizi ya Sayansi, Teknologia na ubunifu hususani Bioteknologia
katika kuendeleza kilimo.
Baadhi
ya waandihsi wa habari waliofika katika hafla fupi kuwakabidhi tuzo za
uandishi mahiri wa habari za Sayansi (Biotechnology) jijini Dar es
Salaam .
Waziri
wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako
akizungumza wakati wa hafla hiyo jijini Dar es Salaam .
Waziri
wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako
akimkabidhi Mwandishi Elias Msuya hundi yake pamoja na cheti wakati
aliposhinda tuzo ya uandishi bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia
ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam .
Waziri wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi Mwandishi Lucy Ngowi cheti kwaajili ya ushindi wa uandishi wa habari za Sayansi na Kilimo jijini Dar es Salaam .
Waziri
wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako
akimkabidhi Helen Kavava hundi yake wakati aliposhinda tuzo ya uandishi
bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako
akimkabidhi Kelvin Gwabara tuzo yake wakati aliposhinda tuzo ya uandishi
bora wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda
Waziri
wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako
akimkabidhi hundi ya Dola 750 wakati aliposhinda tuzo ya uandishi bora
wa habari za Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam .
Waziri
wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akiwa
katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo za uandishi bora wa habari za
Bioteknologia baada ya kukabidhiwa tuzo ya uandishi bora wa habari za
Sayansi na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Hassan Mshinda katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi
wa TBC, Ayoub Rioba akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo za uandishi
bora wa habari za Sayansi na Kilimo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Elimu , Sayansi,Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako, Mkuu
Mkuu wa Tume ya Sayansi na Technologia, (COSTECH)Hassan Mshinda na
Mkurugenzi wa TBC wakiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa tuzo za
umahili bora wa habari za Sayansi na Kilimo jijini Dar es Salaam .
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamaii
No comments:
Post a Comment