Pages

August 19, 2017

MAKAMBI YA KANISA LA WASABATO YA 2017 KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM YAFUNGWA RASMI LEO


 Askofu Rabson Nkoko wa Kanisa la Waadiventista  Wasabato ambaye ni Katibu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, akifanya maombi wakati akifunga makambi ya kanisa hilo ya 2017 Kitunda jijini Dar es Salaam leo hii. Askofu Nkoko alikuwa mgeni rasmi.

 Kwaya ya Sonda ya Dillu ya Kanisa hilo la Ukonga ikitoa burudani.
 Waimbaji kutoka Kanisa la Wasabato Magomeni wakiwa kwenye hafla hiyo.
 Kwaya ya Kitunda ikiwa katika hafla hiyo ya kufunga makambi.
 Mahubiri yakiendelea.
 Ibada ikifanyika.
 Usikivu katika ibada hiyo.
 Mchungaji Dk.Watson Mwaibasa akizungumza kwenye ibada hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kuratibu Makambi hayo,  Mtumishi wa Mungu, Michael Masembejo akizungumza kwenye ibada hiyo.



 Wanakwaya wa Kitunda wakishiriki maombi.
 Maombi yakifanyika.

 Mchungaji, Lucas Mahangila akisoma neno la Mungu katika 
ibada hiyo.
 Kwaya zikiimba kwa pamoja katika ibada hiyo.
 Mwalimu wa Kwaya ya Mtaa wa Kiyombo, Joshua John akiongoza uimbaji.
 Viongozi wakiwa meza kuu.
 Waumini wakiwa kwenye ibada hiyo.
 Kwaya ya Mtaa wa Kitunda ikiwa kwenye ibada hiyo.
 Kwaya ya Magomeni ikitambulishwa.
 Mchungaji wa Mtaa wa Kitunda, Julius Fidelis Oisso, akifurahi na muumini wa Kanisa hilo, Shadrack Sagati (kulia), wakati wa kutambulisha kwaya mbalimbali zilizoshiriki katika ibada hiyo.
  Askofu Rabson Nkoko wa Kanisa la Waadiventista  Wasabato ambaye ni Katibu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, akikabidhiwa zawadi na muumini wa kanisa hilo.
 Anord Mwapongo ambaye ni kiongozi wa Kwaya ya Magomeni, akionesha umahiri wakati kwaya hiyo ilipokuwa ikiimba.
 Watoto wakibatizwa.
Ubatizo ukiendelea.
Waumini walioamua kumpokea yesu kristo kwa kuokoka wakiwa mbele wakisubiri kuombewa na kupokelewa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...